KAMA UNA TUKIO LOLOTE LA KIJAMII, SIASA, UCHUMI TUWASILIANE KWA E-mail: shehesemtawa@gmail.com SIMU: 0719 352 268

Saturday 6 February 2016

MWENYEKITI WA CCM DK JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 39 YA CCM SINGIDA, RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU KWA WATENDAJI SERIKALINI

1
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akipokelewa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati alipowasili kwenye maadhimisho ya miaka 39 ya CCM yanayofanyika kwenye uwanja wa Namfua mjini Singida ambapo viongozi mbalimbali wamehudhuria wakiongozwa na Mh. Rais Jaohn Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Mh.Mama Samia Hassan Suluhu pamoja naye Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa.PICHA NA JOHN BUKUKU- FULLSHANGWE-SINGIDA.
2
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akisalimiana na Mh. Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo mara baada ya kuwasili uwanjani hapo.

No comments:

Post a Comment