KAMA UNA TUKIO LOLOTE LA KIJAMII, SIASA, UCHUMI TUWASILIANE KWA E-mail: shehesemtawa@gmail.com SIMU: 0719 352 268

Sunday, 22 March 2015

RAIS JK, AKIWA NA MARAIS WASTAAF NCHINI NAMIBIA

RAIS Jakaya Kikwete, akiwa pamoja na Marais wastaaf, Ali Hassan Mwinyi (Kulia) na Benjamin Mkapa (Kushoto), katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako jijini Windhoek, baada ya kuhudhuria sherehe ya maadhimisho ya miaka 25 ya Uhuru wa Namibia (picha na Fred Maro) 

No comments:

Post a Comment