Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa mwanahabari Bernard R.
Ishengoma wakibeba jeneza lililo na mwili wake. Bernard Rwebangira
alifariki dunia Aprili 8, 2015 na kuzikwa Aprili 9, 2015 makaburi ya
Kawe jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi
(kulia) akikabidhi ubani wa shilingi 600,000 kwa kaka mkubwa wa marehemu
mwanahabari Bernard R. Ishengoma ambaye ni mwanachama wa TBN,
uliofanyika Mbezi Tangi Bovu jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment