KAMA UNA TUKIO LOLOTE LA KIJAMII, SIASA, UCHUMI TUWASILIANE KWA E-mail: shehesemtawa@gmail.com SIMU: 0719 352 268

Sunday, 12 April 2015

RAIS KIKWETE AHUDHURIA IBADA YA KUMSIMIKWA ASKOFU MPYA WA JIMBO KATOLIKI SHINYANGA MHASHANU LIBERATUS SANGU

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza askofu Mpya wa Jimbo Katoliki Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu wakati wa ibada ya kumweka wakfu iliyofanyika katika kanisa kuu la Parokia ya Mama mwenye Huruma, Ngokolo mjini Shinyanga leo.  (picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment