KAMA UNA TUKIO LOLOTE LA KIJAMII, SIASA, UCHUMI TUWASILIANE KWA E-mail: shehesemtawa@gmail.com SIMU: 0719 352 268
View the slide show
Sunday, 3 May 2015
FLOYD MAYWEATHER MBABE DHIDI YA MANNY PACQIAO
Mwanamasumbwi Floyd Mayweather Jr. amemshinda kwa pointi mpinzani wake Mfilipino Manny Pacquiao katika pambano la ngumi la kimataifa na kuchukua mkanda wa dunia wa WBC kwenye pambano uliofanyika kwenye ukumbi wa MGM Grand nchini Marekani alfajiri ya kuamkia leo pata matukio zaidi ya picha kwa kuperuzi hapa (PICHA KW
A HISANI YA MTANDAO WA http://www.telegraph.co.uk)
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment