KAMA UNA TUKIO LOLOTE LA KIJAMII, SIASA, UCHUMI TUWASILIANE KWA E-mail: shehesemtawa@gmail.com SIMU: 0719 352 268

Sunday, 31 May 2015

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAALIM SEIF IKULU DAR ES SALAAM

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad ikulu jijini Dar es Salaam
(picha na Freddy Maro)
1
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye picha ya pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad ikulu jijini Dar es Salaam.

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA KAMPUNI YA UNILEVER DUNIANI

unnamedRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Unilever Duniani (Global CEO), Bwana Paul Poulman jijini Dar es Salaam.
(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment