Katibu wa Itikadi na Uenezi (CCM) Nape Nnauye akiwa katika studio za Redio 5 zilizopo njiro jijini Arusha akihojiwa live na kituo hicho juu ya utekelezaji wa ilani ya CCM pamoja na ziara ya katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana inayoendelea katika mkoa wa Arusha,kushoto ni mtangazaji mahiri wa kituo hicho David Rwenyagira
No comments:
Post a Comment