KAMA UNA TUKIO LOLOTE LA KIJAMII, SIASA, UCHUMI TUWASILIANE KWA E-mail: shehesemtawa@gmail.com SIMU: 0719 352 268

Monday, 13 April 2015

Aidha walimu kutoka katika mikoa 11 watapatiwa mafunzo chini ya mipango ya
wahisani tofauti, ambapo walimu wa mkoa wa Mtwara walishapatiwa mafunzo hayo
chini ya Shirika la Maendeleo la Marekani –USAID; Mikoa ya Kigoma, Tabora, Lindi,
Simiyu, Mara, Shinyanga na Dodoma wanaendelea kupatiwa mafunzo chini ya ufadhili
wa Shirika la Maendeleo la Uingereza- DfID na mikoa ya Mbeya, Njombe, na Iringa
watapata mafunzo chini ya ufadhili wa Shirika Watoto la Umoja wa Mataifa- UNICEF.
Imetolewa na: -
Jumanne A. Sagini
Katibu Mkuu,
Ofisi ya Waziri Mkuu,
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, 10 Aprili, 2015

No comments:

Post a Comment