KAMA UNA TUKIO LOLOTE LA KIJAMII, SIASA, UCHUMI TUWASILIANE KWA E-mail: shehesemtawa@gmail.com SIMU: 0719 352 268

Thursday, 30 April 2015

MATUKIO YA UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MKOA WA RUVUMA APRIL 29, 2015.

Muasisi wa Chama cha Mapinduzi na Mkuu wa Wilaya wa Kwanza mwafrika kuteuliwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Alhaj Mustafa Mohamed Songambele(90  ) akiongea na mwakishi wa Channel ten mkoani Ruvuma Marietha Msembele (kushoto) leo mjini Songea wakati wa Sherehe za uzinduzi wa mbio za Mwenge wa uhuru uliozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein.

No comments:

Post a Comment