RAIS WA ZANZIBAR DK. ALI MOHAMED SHEIN AFANYA ZIARA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA ABEID AMANI KARUME APRIL 9, 2015.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Dk.Juma Malik Akili wakati alipofanya ziara ya kutembelea ujenzi wa jengo la Abiria Terminal II katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo.
No comments:
Post a Comment