KAMA UNA TUKIO LOLOTE LA KIJAMII, SIASA, UCHUMI TUWASILIANE KWA E-mail: shehesemtawa@gmail.com SIMU: 0719 352 268

Sunday, 17 May 2015

RAIS KIKWETE AKAGUA UJENZI WA UKUMBI WA MIKUTANO, WA KIMATAIFA WA DODOMA

by JOHN BUKUKU on MAY 16, 2015 in SIASA with NO COMMENTS

do1
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma unaojengwa na Chama Cha Mapinduzi CCM
do3
Muonekano wa ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Dodoma(picha na Freddy Maro
do4
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na makandarasi wanaojenga ukumbi wa kimataifa wa Mikutano wa Dodoma leo.
do5
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma unaojengwa na Chama Cha Mapinduzi CCM kulia ni makamu mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula.

No comments:

Post a Comment