Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kulia, Mama Salma Kikwete
katikati, Mama Mwanamwema Shein kushoto na Wananchi wa Zanzibar, wakiwa
katika Dua ya Pamoja mbele ya Jeneza lenye Mwili wa aliyekua Makamu
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM Taifa (UWT) Marehemu Asha Bakari
Makame iliyofanyika leo Januari 22,2016 nyumbani kwao Jang’ombe kabla ya
mazishi yake yaliyofanyika katika kijiji cha Kianga Wilaya ya Magharibi
Unguja.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kulia, Mama Salma Kikwete
katikati, Mama Mwanamwema Shein kushoto na Wananchi wa Zanzibar, wakiwa
katika Dua ya Pamoja ya kumuombea aliyekua Makamu Mwenyekiti wa Umoja
wa Wanawake wa CCM Taifa (UWT) Marehemu Asha Bakari Makame iliyofanyika
leo Januari 22,2016 nyumbani kwao Jang’ombe kabla ya mazishi yake
yaliyofanyika katika kijiji cha Kianga Wilaya ya Magharibi Unguja.
Baadhi ya Viongozi wa Serikali na
Vyama vya Siasa wakishiriki kubeba Jeneza lenye Mwili wa aliyekua
Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM Taifa (UWT) Marehemu Asha
Bakari Makame kabla ya mazishi yake yaliyofanyika leo Januari 22,2016
katika kijiji cha Kianga Wilaya ya Magharibi Unguja
No comments:
Post a Comment