Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimia
wananchi katika maeneo mbalimbali mkoani Arusha wakati aliposimama
njiani akielekea katika Chuo cha Kijeshi cha Monduli ambako leo
atawatunuku kamisheni maafisa wapya wa jeshi la Wananchi waliohitimu
vyema mafunzo yao mkoani humo.
No comments:
Post a Comment