Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akifungua mkutano wa wabunge, bungeni mjini Dodoma
Januari 22, 2016.
Kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai na kushoto ni Katibu wa Bunge Dkt.
Thomas Kahilillah. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Spika wa Bunge Job Ndugai
akizungumza kumkaribisha Mwenyekiti wa Mkutano wa Wabunge, Waziri Mkuu,
Kassim Majliwa kufungua mkutano huo bungeni mjini Dodoma Januari 22,
2016. Kulia ni Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashilillah. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge,
Nenelwa Mwihambi akitoa mada katika mkutano wa wabunge ulioongozwa na
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, buneni mjini Dodoma Januari 22, 2016.
Watatu kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai na kulia ni Katibu wa Bunge,
Dkt. Thomas Kashilillah.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Wabunge, Jenista Mhagama wa
Peramiho (kushoto) na January Makamba wakiteta katika mkutano wa
wabunge, bungeni mjini Dodoma Januari 22, 2016. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Mwanasheria Mkuu wa Serikali,
George Masaju akitoa mada katika mkutano w wabunge , bungeni mjini
Dodoma Januari 22, 20167. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mbunge wa Mafinga mjini Cosato Chumi kwenye viwanja vya
Bunge mjini Dodoma Januari 22, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akifurahia jambo na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari wakati
aaliposalimiana naye kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januari 22,
2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa
akisalimiana na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari kwenye
viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januari 22, 2016. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment