KAMA UNA TUKIO LOLOTE LA KIJAMII, SIASA, UCHUMI TUWASILIANE KWA E-mail: shehesemtawa@gmail.com SIMU: 0719 352 268

Wednesday, 20 January 2016

MULTCHOICE TANZANIA YAPATA CHAI YA PAMOJA NA WANAHABARI KATIKA HALFA YA KUKARIBISHA MWAKA MPYA

DSC_0059
Watendaji wa Multchoice Tanzania wakitoa shukrani zao kwa wanahabari waliofika 
katika mwaliko maalum wa kuukaribisha mwaka pamoja na kufahamiana zaidi halfa iliyofanyika mapema asubuhi ya leo katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment