Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais – Mazingira na Muungano Mheshimiwa January Makamba akiangalia
baadhi ya sampuli za mifuko isiyoharibu mazingira ambayo inatengenezwa
na Umoja wa Watengeneza mifuko isiyoharibika Tanzania (UWAMITA) Kulia
ni Mwenyekiti wa kikundi hiko Jumanne Mgude.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais – Mazingira na Muungano Mheshimiwa January Makamba, akiongea na
Wanakikundi wa Umoja wa Watengeneza Mifuko isiyoharibika Tanzania
(UWAMITA) walipomtembelea Ofisini kwake mtaa wa Luthuli.
No comments:
Post a Comment