KAMA UNA TUKIO LOLOTE LA KIJAMII, SIASA, UCHUMI TUWASILIANE KWA E-mail: shehesemtawa@gmail.com SIMU: 0719 352 268

Thursday, 19 March 2015

HABARI KATIKA PICHA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki, akifafanua jambo wakati wa uzinduzi wa Mradi wa Amani Kwanza uliofanyika jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Dini mbalimbali (IRCPT), Canon Thomas Goda na Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Musa Salum.   

No comments:

Post a Comment