Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama
Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa Katibu Mkuu
mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya Umoja wa Afrika(OAU) marehemu
Brigedia Jenerali(Mstaafu) Hashim Mbita katika hospitali kuu ya Jeshi
Lugalo jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment