Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard
Membe Membe akimkaribisha Rais Mstaafu wa Marekani Mhe Bill Clinton
Ikulu jijini Dar es salaam Aprili 28, 2015. Rais huyo wa 42 wa Marekani
yuko nchini kukagua miradi ya maendeleo na afya inayofadhiriwa na
taasisi za Clinton Development Initiative (CDI) na Clinto Health Access
Initiative (CHAI).
No comments:
Post a Comment