KAMA UNA TUKIO LOLOTE LA KIJAMII, SIASA, UCHUMI TUWASILIANE KWA E-mail: shehesemtawa@gmail.com SIMU: 0719 352 268

Friday, 8 May 2015

HALI YA USAFIRI KATIKATI YA JIJI LA DAR ILIVYO KIPINDI HIKI CHA MVUA

Kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha maeneo mbali mbali hapa jijini Dar, imepekea baadhi ya njia kufungwa kutokana na wingi wa maji kwenye baadhi ya madaraja, hali iliyopelekea kuwepo kwa msongamano mkubwa la magari kama ionekanavyo pichani hapa katika Barabara ya Azikiwe, kutokea kwenye kipita shoto cha Askari. Picha hiyo ni kwa niaba ya Othman Michuzi.

No comments:

Post a Comment