KAMA UNA TUKIO LOLOTE LA KIJAMII, SIASA, UCHUMI TUWASILIANE KWA E-mail: shehesemtawa@gmail.com SIMU: 0719 352 268

Sunday, 10 May 2015

NAPE NNAUYE AZINDUA KIKUNDI CHA TEGETA JOGGING AND SPORTS

By SOLO Mazalla on May 10, 2015 in MICHEZO with No comments

1
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye (katikati) akiwa pamoja na Viongozi wengine wa michezo (wakwanza kushoto) Katibu Mwenezi wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Juma Simba Gaddafi wakishiriki mazoezi ya kukimbia mchaka mchaka yalioandaliwa na kikundi cha Tegeta Jogging and Sports Club yalionzia Tegeta kwa Ndevu na kuishia katika Uwanja wa Shule ya Msingi Tegeta Kunduchi jijini Dar es Salaam Mei 10,2015.
PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWEBLOG
2
Hapa ni mchakamchaka.
3 4

No comments:

Post a Comment