KAMA UNA TUKIO LOLOTE LA KIJAMII, SIASA, UCHUMI TUWASILIANE KWA E-mail: shehesemtawa@gmail.com SIMU: 0719 352 268

Thursday 11 February 2016

BASI LA SIMBA MTOTO LAGONGANA NA ROLI WILAYANI KOROGWE MKOANI TANGA

SI1
Ajali mbaya ya barabarani imetokea mkoani Tanga asubuhi hii wakati Basi la Kampuni ya Simba Mtoto ya Tanga lilipogongana na  Roli uso kwa uso,taarifa za awali zinasema watu 10 wamekufa  na wengine wamejeruhiwa katika ajali hiyo.
Kwa sasa bado tunaendelea kufuatilia tukio hilo ili kupata idadi kamili ambapo mpaka sasa taarifa za awali zinasema watu 10 ndiyo waliopoteza maisha katika ajali hiyo mbaya iliyotokea eneo la Pangamlima wilayani Korogwe mkoani humo.
SI2SI3SI4SI5

No comments:

Post a Comment