KAMA UNA TUKIO LOLOTE LA KIJAMII, SIASA, UCHUMI TUWASILIANE KWA E-mail: shehesemtawa@gmail.com SIMU: 0719 352 268

Monday 20 April 2015

WAZIRI WA FEDHA SAADA SALUM MKUYA AKUTANA NA MAKAMU WA BENKI YA DUNIA KANDA YA AFRIKA

Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akipiga mahesabu ya haraka haraka na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile, baada ya kuulizwa swali na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia ukanda wa Afrika Bw. Makhatar Diop,( hayupo kwenye picha).Kulia ni Bw. Rished Bade Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania na kushoto ni Gavana msaidizi wa Benki kuu ya Tanzania Bi. Natu Mwamba.

No comments:

Post a Comment