KAMA UNA TUKIO LOLOTE LA KIJAMII, SIASA, UCHUMI TUWASILIANE KWA E-mail: shehesemtawa@gmail.com SIMU: 0719 352 268

Friday 21 August 2015

NEC YATOA RATIBA YA KUREJESHA FORM NA UTEUZI WA WAGOMBEA URAIS

unnamedB

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA

unnamedunnamedN

RAIS KIKWETE ATEMBELEA NA KUAGA RASMI TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

12
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora wakati alipotembelea makao makuu ya Tume hiyo na kuzungumza na viongozi na wafanyakazi na kuwaaga rasmi jana.
3
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake kwa viongozi na wafanyakazi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika ukumbi wa mikutano wa Haki House makao makuu ya Tume hiyo jijini Dar es Salaam jana.
4
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bwana Tom Nyanduga wakati Rais alipotembelea na kuzungumza na wafanyakazi wa Tume hiyo jijini Dar es Salaam jana.
5
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mh.Tom Nyanduga akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete tuzo maalum kwa kutambua mchango wake katika kuboresha haki za binadamu na Utawala Bora nchini muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuhutubia na kuagana rasmi na wafanyakazi wa Tume hiyo jijini Dar es Salaam jana.Watatu kushoto ni Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro na kulia ni Mwanasheria Mkuu wa Serkali Mh.George Masaju.
6
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu Bwana Tom Nyanduga pamoja na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro baada ya Rais Kuwahutubi na kuagana na wafnyakazi wa tume hiyo jana.
(Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment